IQNA-Gazeti moja la Marekani limekiri uwezo wa kijeshi wa Iran wa kuathiri uchumi wa dunia kwa kudhibiti Mlango-Bahari wa Hormuz.
Habari ID: 3482061 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/16
IQNA-Makao Makuu ya Kamandi ya Kati ya Marekani (CENTCOM) yametangaza ‘kuanguka’ kwa ndege yao ya kijeshi ya kujaza mafuta angani katika eneo la magharibi mwa Iraq, na kutaja tukio hilo kuwa eti ni “ajali”. Hatahivyo Harakati ya Muqawama au Mapambano ya Kiislamu nchini Iraq imetangaza rasmi kutungua ndege hiyo ya jeshi la kigaidi la Marekani.
Habari ID: 3482054 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/13
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani/6
IQNA – Qur’ani Tukufu inabainisha kwamba kiwango cha imani ya mtu kwa Mwenyezi Mungu ndicho kinachoamua kiwango cha uwezo wake wa kutenda.
Habari ID: 3482040 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/10
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetekeleza operesheni kadhaa za kulipiza kisasi hadi sasa kujibu uchokozi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3482008 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/02
IQNA-Mashambulizi ya makombora ya Iran ya jana usiku ya kulipiza kisasi jinai za Israel ni makubwa kiasi kwamba hadi hivi sasa taasisi za utawala wa Kizayuni zimeemewa na hazijui zianzie wapi.
Habari ID: 3480836 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/15
IQNA-Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza kutekeleza wimbi la mashambulizi ya makombora dhidi ya utawala waKizayuni Israel, ili kulipiza kisasi kufuatia hujuma za utawala huo wa Kizayuni dhidi ya ardhi ya Iran.
Habari ID: 3480831 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/14
Jinai ya Israel
IQNA-Meja Jenerali Hossein Salami, kamanda mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), pamoja na Meja Jenerali Mohammad Bagheri, Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran wameuawa shahidi katika hujuma ya anga lililotekelezwa na utawala katili wa Israel mapema Ijumaa alfajiri mjini Tehran.
Habari ID: 3480827 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/13
Siasa
IQNA - Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu la Iran ameilaani Marekani kwa kutoa uungaji mkono wa kila namna kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika hujuma zake za mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3479706 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
Diplomasia
IQNA - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza haki isiyopingika ya Iran kujibu kitendo cha kichokozi cha hivi karibuni cha utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479662 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/28
Diplomasia
IQNA-Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemwandikia barua Mwenyekiti wa Baraza la Usalama na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kufuatia mashambulizi ya jana ya utawala wa Kizayuni dhidi ya vituo vya kijeshi vya Iran na kusisitiza kuwa: Hatua za Tel Aviv ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa kimataifa.
Habari ID: 3479654 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/27
IQNA – Mbunge wa ngazi za juu katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (bunge la Iran) amepongeza kikosi cha ulinzi wa anga cha Iran kwa kufanikiwa kuzima shambulio la anga la utawala haramu Israel Jumamosi asubuhi.
Habari ID: 3479647 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/26
Katika barua kwa Kiongozi Muadhamu
IQNA-Wanachuoni 3,000 wa Kisuni wa nchini Iran wamemwandikia barua ya shukrani Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei wakimshukuru na kumpongeza kwa operesheni ya Ahadi ya Kweli II iliyoutia adabu utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3479554 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran ameelezea operesheni ya Jumanne usiku ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu dhidi ya utawala wa Israel kama kulipiza kisasi kwa jinai nyingi za utawala huo.
Habari ID: 3479526 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Waziri wa Iran wa Mashauri ya Kigeni amesema pambizoni mwa kikao cha leo cha Baraza la Mawaziri kuhusiana na Operesheni Ahadi ya Kweli II kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetumia tu haki yake ya kujihami kihalali kujibu harakati za kigaidi za utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya Iran.
Habari ID: 3479524 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Katika tangazo nambari mbili, kufuatia Operesheni ya Ahadi ya Kweli II dhidi ya utawala haramu wa Israel ambalo limetekelezwa Jumanne jioni kwa makombora limesema licha ya ukweli kwamba Israel inalindwa na mifumo ya teknolojia ya juu, asilimia 90 ya makombora ya Iran yamelenga shabaha kwa mafanikio, jambo ambalo limepelekea utawala wa Kizayuni uingiwe na hofu kubwa kutokana na uwezo wa kiutendaji wa Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 3479522 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA: "Jibu madhubuti limetolewa kwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel," Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema.
Habari ID: 3479521 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/01
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
TEHRAN- Ving'ora vinasikika katika kote Israel (ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu) baada ya majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuvurumisha idadi kubwa ya makombora ambayo yamelenga ngome muhimu za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel
Habari ID: 3479519 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/01
Imam Khomeini
IQNA – Hauli za mwaka wa 35 tangu alipoaga dunia Imam Khomeini (RA) zitafanyika kwa kauli mbiu ya "Imam; Ahadi ya Kweli ’.
Habari ID: 3478834 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Ahadi ya Kweli
IQNA-Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema kuwa, ubeberu unaamiliana na ulimwengu wa Kiislamu kwa sera na siasa moja na wala haujali mipaka na kusisitiza kuwa, iwapo adui atadhibiti eneo la Kiislamu basi atapanua hadi sehemu nyingine.
Habari ID: 3478795 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09
Ahadi ya Kweli
IQNA - Mwanaharakati wa kisiasa wa Syria amesema shambulio la makombora ya Iran na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israeli mapema mwezi huu limeleta mabadiliko ya kihistoria.
Habari ID: 3478715 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/22